
Mashindano ya upishi
Mwakilishi wa Tanzania na Afrika katika mashindano ya upishi, Fred Uisso akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam juzi kuanza safari kwenda Marekani kushiriki mashindano hayo kwa udhamini wa kampuni ya Redgold. (Picha na Mroki Mroki).
wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari DSJ wakiwa katika picha ya pamoja wakiwa katika maanadalizi ya kuelekea kituo cha watoto (msimbazi center) kwa ajili ya kutoa misaada mbalimbali kwa lengo la kuwafariji watoto hao |
No comments:
Post a Comment